Mchungaji mmoja alimfuata pedeshe maarufu kwa kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki :
Mchungaji: kijana tupo katika harakati za kujenga kanisa jitafutie nafasi katika ufalme wa Mungu kwa kuchangia ujenzi huu na Mungu atakubariki.
Pedeshe: samahani mchungaji haitakuwa vizuri mimi kuchangia ujenzi Wa kanisa maana mimi pesa zangu ni haramu huwa nazipata kwa utapeli na kuuza madawa ya kulevya.
Mchungaji: yote ni heri maana pesa yako tutaitumia kujenga eneo la choo tu, we changia
************ unafikitz **************
2019 hakuna kulala
Comments
Post a Comment
THANK YOU for your comment we will respond soon as possible............